ALMASI — SOKO KUU LA KIDIJITALI TANZANIA 
Karibu Almasi – (AfriMarketStore), jukwaa kubwa na salama la biashara ya mtandaoni (Multi-Vendor Marketplace) nchini Tanzania . Soko letu limeundwa mahususi kuleta mageuzi ya kibiashara kwa kuwaunganisha wauzaji waaminifu wa maduka mikoa yote ya Tanzania na Afrika Mashariki moja kwa moja na wateja wao .
Dhumuni Letu Kuu la Kibiashara:
    • Kuondoa Utapeli Mtandaoni: Tumejenga mfumo imara wa malipo ambapo usalama wa fedha za mnunuzi na mtaji wa muuzaji unalindwa kwa usalama mkubwa tangu sekunde ya kwanza ya muamala .
    • Kutokomeza Changamoto ya Umbali: Wateja wa mikoani sasa wanaweza kununua bidhaa moja kwa moja popote Tanzania kwa bei nafuu zaidi ya sokoni na kusafirishwa kwa mabasi au pikipiki (kwa walio karibu) kwa usalama mkubwa hadi walipo .
    • Kukuza Biashara za Ndani: Tunampa kila mfanyabiashara fursa ya kufungua duka lake bure la kidijitali ndani ya jukwaa letu ili afikie mamilioni ya wateja bila gharama za pango .

Bidhaa Tunazoratibu:
Tunaratibu rafu pana za bidhaa za jumla na rejareja ikiwemo: Vifaa bora vya umeme, mitindo na fashion ya kileo, simu janja (Smartphones) na Gadgets za kijanja, vifaa vya magari, bidhaa za kilimo na mifugo na bidhaa nyingine mbalimbali.
Chapa Yetu:
Almasi ni taasisi rasmi ya kibiashara inayofanya kazi kiprofeshonali kulainisha mnyororo wa manunuzi nchini . Tunasimamia uaminifu, kasi ya usafirishaji, na huduma bora kwa wateja wetu wakati wote.
0
0
Kikapu Chako
Secure Checkout
Fast Shipping
Easy Returns
Empty CartKikapu kiko tupuRudi Dukani
0
Scroll to Top